Mo Dewji atoa neno kwa wanasimba


"Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakayeondoka SIMBA SC  Pia tutasajili mchezaji yoyote, kutoka popote kama Mwl. wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka kwa kishindo, hatuna maneno mengi lakini tupo" MO Dewji



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items