Ruksa mashabiki kuwepo uwanjani mechi ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba
byMuungwana Blog 5-
0
Serikali kupitia Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Baraza la Michezo nchini BMT imekubali kuingia kwa mashabiki katika mchezo wa VPL kati ya Tanzania Prisons vs Simba
utakaopigwa kesho katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.