Simba yaikung'uta KMC kwenye dimba la Mo Simba Arena

 Klabu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye dimba la Mo Simba Arena iliyoko Bunju Dar es Salaam.

Magoli ya Simba yalifungwa na John Bocco dakika ya 34, 75 jingine likifungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 88 ambapo goli la KMC lilifungwa na Charlse Ilanfya dakika ya 30.

FT: Simba SC 3-1 KMC FC.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items