Shirikisho la Soka Tanzania limeruhusu michezo ya kirafiki kuendelea kwa masharti ya kuzingatia mwongozo uliowekwa kuhusu tahadhari dhidi ya corona virus
TFF pia imeuzuia uwanja wa Mo Simba Arena kutumika kwa mechi za kirafiki kwa kuwa uwanja huo ni kwa ajili ya mazoezi pekee.