Uingereza: Fainali ya FA mashabiki kuingia uwanjani

Chama cha soka England FA kitaruhusu mashabiki 20,000 kuingia Wembley kutazama mchezo wa Fainali ya FA Cup August 1 2020 endapo maambukizi ya virusi vya Corona yatakuwa yamepungua kwa kiasi kikubwa, uwanja wa Wembley unachukua mashabiki 90,000.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items