Wanamgambo wanne wanaopigania uhuru Jammu & Kashmir wameuwa



Wanamgambo wanne wa Jammu & Kashmir  wameripotiwa kuuawa katika   eneo ambalo linamilikiwa na India.

Wapiganaji wanaopiganiia uhuru Jammu & Kashmir wameuawa katika eneo ambalo linamilikiwa na India .

Eneo hilo ni eneo ambalo mara kwa mara  hutokea mapigano kati  ya wanamgambo wa India na Pakistan wanaotaka kujitenga na kuwa eneo huru.

Jeshi la India limeendesha operesheni katika eneo hilo Pinjora na Sophian hdidi ya wanamgambo hao.

Katika taarifa ya maandishi iliotolewa na kikosi cha usalama, watu  4 ambao wametajwa kuwa  wapiganaji wa Hizbul Mujahideen .

Wanamgambo hao wameuawa baada ya kuwashambulia wanajeshi waliokuwa wakilinda doria.

Katika makabiliano na wanamgambo hao,  askari  watatu  wamejeruhiwa.
Mapigano hayo yametokea  masaa  24 yaliopita.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items