Kaimu kamishna jenerali wa mamlaka yakupamabana na dawa za kulevya nchini James Kaji amesema katika operesheni hiyo waliyoifanya wamefanikiwa kuwakamatwa watu wawili na taratibu za kisheria zitakapokamilika watapelekwa mahakamani