JPM amuagiza IGP kuuondoa uongozi wa juu wa polisi meru
byMuungwana Blog 3-
0
Rais John Magufuli amemuagiza Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro kuwaondoa na kuwapangia kazi nyingine OCD wa Wilaya ya Meru, ofisa usalama na OCCID kwa kushindwa kusimamia wajibu wao.