Loading...

7/26/2020

Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya mechi zote za msimu wa 2019/2020

 Singida United, Ndanda FC na Lipuli FC zimeshuka daraja moja kwa moja baada ya kukamata nafasi tatu za chini ya msimamo wa VPL huku kwa ukaribu, Alliance FC na Mbao FC wakisubiri michezo ya mtoano (playoffs) dhidi ya timu kutoka LigiDaraja la Kwanza.


KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger