Rais Magufuli ateua DC 1 na MA DED 5



Leo Julai 7, Rais Magufuli amefanya uteuzi wa DC 1 na Ma-DED 5 akiwemo,  Lauteri Kanoni kuwa DC wa Wanging'ombe. Aidha amemteua Bashir Mhoja kuwa Mkurugenzi Wilaya ya Iringa, Ramadhan Possi kuwa DED Chalinze pia amemteua Baraka Zikatimu kuwa DED Wilaya ya Urambo.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items