VIDEO: Huyu hapa RC Mpya Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli leo Julai 15 amemteua aliyekuwa katibu tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Abubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar eslaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items