https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Lusinde aibuka kwa mara kwanza baada ya kutuhumiwa rushwa | Muungwana BLOG

VIDEO: Lusinde aibuka kwa mara kwanza baada ya kutuhumiwa rushwa


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amesema TAKUKURU wamechunguza na wamemkuta hana hatia dhidi ya Rushwa aliyokuwa anatuhumiwa nayo kama ilivyoripotiwa hivi karibuni na vyombo vya habari.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE