VIDEO: Vijana wetu wamepata mazoezi ya kutosha-IGP Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa, askari Polisi wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulika wanaovunja sheria.

IGP Sirro mesema hayo leo akiwa jijini Arusha, wakati akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo ambapo aliwataka kuendelea kutoa elimu kwa wananchi huku akiwahakikishia wananchi kuwa, uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na wale wachache wanaotegemea kufanya fujo hawatapata nafasi hiyo na kwamba Jeshi la Polisi litaendelea kutenda haki na watakaokiuka
Watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items