Bosi wa Simba atua Yanga Baada ya kujiuzuru masaa machache tu

Muda wowote Wananchi watamwaga Ugali baada ya majirani zao kumwaga Mboga. Inadaiwa Klabu ya Yanga  imeamua kumng’oa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba ,Senzo Mazingisa

Hakika huu ni usajili wa Kishindo na usiotabirika, muda mchache uliyopita Senzo alitangaza kujiuzulu na muda wowote ule Wananchi watautikisa usajili wa msimu huu baada ya Mnyama kufanya hivyo hapo jana.