Makonda: Asilimia 70 na huu Mkoa ni wambea

"Asilimia 70 na huu Mkoa ni wambea na wanapenda Umbea kuliko chochote kile Usikubali wakuchinganishe na RC wako........ Endelea kuwa focused na Utumishi, Mheshimiwa Rais amewaamini na anaamini mtamsaidia katika utumishi wake hasa katika kuwatumikia wanyonge wa mji huu wa Dar es salaam." - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda  akikabidhi ofisi kwa RC mpya Mhe. Aboubakar Kunenge
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items