Loading...

Aug 1, 2020

Mke wa mtu amponza Waziri wa Elimu wa Zambia, atumbuliwa


Rais wa Zambia Edgar Lungu amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo David Mabumba baada ya kuvuja kwa video ya ngono inayomuonesha Mabumba akifanya vitendo vya ngono na Mwanamke kwa njia ya simu(video call), inadaiwa kuwa Mwanamke huyo aliyechepuka na Waziri Mabumba ni Mke wa Mtu na wakati wanafanya kitendo hicho Waziri alikuwa kajitenga Karantini baada ya kukaa karibu na mgonjwa wa corona.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger