Aug 1, 2020

Diamond: Mwenyezi Mungu anijaalie Iddi ijayo, nami niile nikiwa kwenye Ndoa

Msanii alieuteka muziki wa kibongo Diamond Platnumz ameonesha hisia zake za kutamani Maisha ya ndoa na kusema kuwa anaomba MUNGU kabla ya kiku kuu ya IDD ijayo awe amefunga ndoa.

Daimond ambaye amesheherekea harusi ya dada yake Esma hivi karibuni ameonyesha kuvutiwa na yeye kuoa na kuamua kuandika hivi kupitia ukurasa wake wa instagram;


" Inshaallah Mwenyez Mungu anijaalie Iddi ijayo, nami niile nikiwa kwenye Ndoa...🙏🏼'' DIAMOND PLATNUMZ

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger