Nikija tena ni mwananchi wa kawaida kupanga foleni- Makonda


"Mheshimiwa RC nasema kwasababu ndio naaga na sitegemei tena kurudi katika nafasi hii katika ofisi hii, Nikija basi ni mwananchi wa kawaida kupanga foleni pale na kuweza kusikiliza lakini naamini haya yote tunafanya kwasababu mwenyezi Mungu alitupa nafasi ya Uhai" - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda akikabidhi ofisi kwa RC mpya Mhe. Aboubakar Kunenge
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items