Rais wa Belarus: Siitisha uchaguzi mwingine


Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue

 “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, mnataka tuwe na uchaguzi mwingine, sasa nawaambia hivi hapa hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue”

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi