https://monetag.com/?ref_id=TTIb Shilole amenidhalilisha sana jana, natamani kumuuliza kwa nini ananichukia?- Snura | Muungwana BLOG

Shilole amenidhalilisha sana jana, natamani kumuuliza kwa nini ananichukia?- Snura

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi  amesema amesikitishwa sana na kitendo cha Shilole 'kumnanga' kwenye mkutano wa Girl Power hapo jana.

Snura ametoa kauli hiyo katika kipindi cha uhondo ndani ya EFM na kusema kitendo kile kilikuwa cha udhalilishaji na chuki dhidi yake huku akisema kwamba Shilole amewahi kufanya hivyo (kumsema hadharani) mara nyingi huko nyuma.


"Natamani kumuuliza kwa nini ananichukia, kwa nini alitengeneza ile stori wakati mimi sijasema apigwe tu?. " Snuramushi