Waziri Mwakyembe atembelea na kukagua maandalizi ya ukarabati wa uwanja wa ndani wa Taifa


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akikagua maandalizi ya ukarabati wa uwanja wa Taifa wa ndani  wakati alipotembelea uwanja huo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi  Msaidizi wa Miundombinu ya Michezo Alex Nkenyenge akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe weakati waziri huyo alipotembelea uwanja wa ndani wa Taifa kujionea maandalizi ya ukarabati wa uwanja huo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia