Benki ya dunia yahimiza nchi masikini kusamehewa madeni


Rais wa World Bank, David Malpass amesema janga la #CoronaVirus linaweza kusababisha changamoto ya kulipa madeni katika baadhi ya nchi

Amesema, wawekezaji wawe tayari kutoa misaada ambayo inaweza kujumuisha kufutwa kwa madeni hayo kwani ni dhahiri nchi nyingine haziwezi kulipa fedha ambazo zimechukua

Mwezi Agosti, Malpass alionya mlipuko huo unaweza kuwapeleka watu Milioni 100 katika umasikini. Ametoa wito kwa Benki Binafsi na Mashirika ya Uwezekaji kujihusisha zaidi katika suala hilo


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi