Breaking News: Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo apata ajali
byMuungwana Blog 5-
0
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu Ado amepata ajali jimboni Nanyamba Mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo Ndugu Colleta Kadinda. Ndugu Ado ametoka salama kwenye ajali hiyo.