Nyumbani Breaking: Zitto Kabwe apata ajali Kigoma byMuungwana Blog 3 -10/06/2020 03:17:00 PM 0 Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepata ajali ya gari huko mkoani Kigoma alipokuwa jimbo la Kigoma Kusini kwaajili ya mkutano wa kampeni. Facebook Twitter