Dkt Bashiru Ally Aongea na Wazee wa Zanzibar


Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika siku ya Jana Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. 


Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. 






 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items