JE unapenda kusoma Majarida, BIZBONGO MAGAZINE ipo kwaajili yako

 


BIZBONGO MAGAZINE 

Limesheheni simulizi kama Wivu,usaliti, LOVE & REVENGE, na MY INDIAN GIRLFRIEND.

Pia Kuna Makala nzuri za mahusiano na saikolojia.

Soma moja kati ya simulizi hizi hapa chini www.bizbongo.com


USALITI 

Naseeb,kijana mwenye umri wa miaka ipatayo ishirini na Tisa tu,huku akiwa amefanikiwa kutimiza miaka takriban mitatu tu,tangu alipofunga pingu za maisha na laaziiz wake, yaani mwanadada  mrembo, Debora.Aliamka asubuhi na mapema,akiwa amemuacha mkewe huyo kitandani,alijongea kuelekea mbele kidogo kisha akasimama karibu na dirisha akishika kioo Cha dirisha hilo na kujiinamia kwa aibu.

"Sijui nitamuanzaje huyu?",Naseeb,aliwaza namna ambavyo angeweza kuitumia akili yake kumuomba msamaha mkewe huyo kipenzi.

Ilikua ni Mara baada ya kugundua mchezo mchafu,uliokua ukiendelea.

Tayari Debora, alifanikiwa kuona mazungumzo ya kimahaba yaliyokua yakiendelea,Kati ya mumewe, Naseeb,na mwanadada Jennifer,kupitia ujumbe mfupi wa maandishi

"Sijui kwanini namkosea mwanamke huyu kiasi hiki?"

"Amejuaje pattern ya simu yangu lakini?",

"Lakini atanisamehe tu,Kisha maisha yataendelea,na ntajitahidi nisirudie kamwe",

Naseeb aliendelea kujiongelesha peke yake akiwa dirishani pale huku Mara kadhaa akizunguka huku na kule na kurudi pale dirishani bila yeye mwenyewe kujua anachofanya

Kiufupi,akili yake ilihama kwa muda,kutokana nawasiwasi uliozidi kipimo.

Muda mfupi tu baadaye,Naseeb alisikia vishindo vya miguu,kutokea chumbani alipokua amemuacha mkewe huyo, yaani Debora.

"Ameamka,ngoja nimuoneshe sasa kua,mie ndio Naseeb,"aliwaza huku akijaribu kufunga madirisha yote I'll kuepusha sauti kusikika kwa majirani endapo ugomvi mkubwa ungetokea.


INAENDELEA...



Kujipatia Jarida hili fuata maelekezo Haya


Tembelea www.bizbongo.com ,kisha scroll utakuta picha ya Jarida.

Bonyeza picha hiyo kisha bonyeza "download by pesapal".

utakutana na maelezo zaidi

Unaweza kusoma maelekezo hayo au kuendelea kwa kufanya yafuatayo


Jaza Jina lako na nambari ya simu kisha gusa neno endelea.

Utapelekwa kwenye ukurasa wa Malipo(unaweza kuuzoom ili uonekane vizuri),,chagua either mpesa,tigopesa au njia ya benki.

Ukichagua mpesa au tigopesa, Utaletewa maelezo ya jinsi ya kulipia, ukishalipia ,tumia Confirmation codes ulizopewa baada ya kulipia.(yaani jaza namba ya simu uliyolipia na Confirmation codes ulizopewa).

Umalize kwa kubonyeza complete.

Subiri dakika mbili kwani Malipo yanapokelewa kwa uhakika zaidi.

Utaletewa link ya kupakua Jarida lako kisha kufurahia kwa wakati wako..

Zingatia haya.


KAMA UNATUMIA SIMU KUNUNUA

wakati unasubiri kuletewa link ya kupakua,"refresh page mara kwa mara kwa kupitisha kidole kwenye screen ya simu juu kwenda chini (scroll).


Endapo ukitoka online bahati mbaya,ukiwa umeshalipia,pesa yako haijapotea,taarifa zitakua zimehifadhiwa kwenye History ya search engine.

Mfano kwenye google chrome,gusa kimshale chekundu (Kulia juu),kisha chagua History,utaona ukurasa wa mwisho wa "payment status"...utumie tena.


Coming soon; usikose Bizbongo magazine ya kila mwezi iliyosheheni Makala za saikolojia,mahusiano,uchumi afya na zingine nyingi kwa ajili yako.

Kaa karibu nasi katika mitandao ya kijamii kupata taarifa zote.

Instagram;Bizbongo_magazine

YouTube;Bizbongo TV


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia