Nyumbani Mchezaji wa Azam FC atua klabu ya Maccabi Tel-Aviv byMuungwana Blog 2 -10/23/2020 08:00:00 PM 0 Klabu ya soka ya Azam FC imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo chipukizi, Novatus Dismas kwenda kwa klabu ya Maccabi Tel-Aviv.Azam FC hawajatoa taarifa zaidi za muda wa mkataba wa Dismas na gharama za kumuuza mchezaji huyo. Facebook Twitter