https://monetag.com/?ref_id=TTIb Nigeria yaahirisha mtihani wa shule za upili huku ghasia za waandamanaji zikiendelea | Muungwana BLOG

Nigeria yaahirisha mtihani wa shule za upili huku ghasia za waandamanaji zikiendelea

 


Waandamani wanataka amabadiliko kamiliImage caption: Waandamani wanataka amabadiliko kamili

Nigeria imeahirisha mtihani wa taifa kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho huku ghasia zikiendelea kati ya waaandamani wanaopinga unyama unaotekelezwa na polisi na maafisa wa usalama nchini humo.

Mji wa Lagos na sehemu zingine nchini humo zimeshuhudia majengo yakitiwa moto, maeneo ya kibiashara yakiporwa na magereza yakivamiwa tangu waandamanaji walipopigwa risasi Jumanne.

Barazal la Taifa la Mitihani (Neco) limesema uamuzi wa kuahirisha mitihani pia umetokana na hatua ya baadhi ya majimbo kuweka amri ya kutotoka nje.

Post a Comment

0 Comments