Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vimekamata mzigo wa magendo robota 297 za vitenge aina mbalimbali vilivyokuwa vinasafirishwa kwanjia ya JAHAZI kwenye bahari ya Hindi kinyume na utaratibu.
Gari za watuhumiwa zilizotumika kupokea mizigo hiyo niT.523 AVQ na T.927 BKL zote ainaya FUSSO.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
