Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipokea maelezo ya ujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kutoka kwa Kaimu Meneja – TEMESA, Mkoa wa Pwani, Injinia Rehana Juma, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko hicho, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



