Breaking News: Rais wa Zanzibar atangaza baraza jipya la mawaziri

 


Na THABIT MADAI,ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Hussein Ali Mwinyi leo ametangaza rasmi Baraza jipya la Mawaziri Zanzibar ambapo jumla ya Wizara 15 amezitangaza na kuacha nafasi katika Wizara mbili.

Katika baraza hilo la Mawaziri hadi Sasa hakuna Wizara ambayo yenye Najibu waziri.

1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji - Mheshimiwa Mudrik Ramadhan Soraga.

2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - Mheshimiwa Masoud Ali Mohammed.

3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba na Utawala Bora - Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman.

4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Mheshimiwa Jamal Kassim Ali.

5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi - Mheshimiwa Dokta Khalid Mohammed Salum. 

6. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo -  Mheshimiwa Soud Nahoda Hassan. 

7. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Mheshimiwa Simai Mohammed Said

8. Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni - Mheshimiwa Tabia Mwita Maulid.

9. Wizara ya Biashara ya Maendeleo ya Viwanda. Hakuna Waziri. 

10. Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi - Mheshimiwa Riziki Pembe Juma.

11. Wizara ya Maji na Nishati - Mheshimiwa Suleiman Masoud Makame.

12. Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto. Hakuna Waziri.

13. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale - Mheshimiwa Lela Mohammed Mussa.

14. Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi - Mheshimiwa Abdallah Hussein Kombo. 

15. Wizara ya Ujenzi - Mheshimiwa Rahma Kassim Ali.

Post a Comment

0 Comments