Katibu Mkuu Wizara ya Afya – Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akikata utepe kuzindua Dawati la Ulinzi wa Mtoto katika Shule ya Msingi Laela A, Halmahsauri ya Sumbawanga Viijijini Mkoani Rukwa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yaliyofanyika katika katika Halmahsauti ya Sumbawanga Viijijini mkoani Rukwa.




