VIDEO: Wahamiaji haramu 36 wakamatwa, wanaowafadhili na kuwasafirisha kukiona cha moto
byMuungwana Blog 3-
0
Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar es salaam vimefanikiwa kuwatia mbaroni Wahamiaji haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini kinyume na taratibu ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo Kali kwa Raia wa Tanzania wanaoshiriki kuwafadhili na kuwasafirisha kwa ili wapate fedha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE