Wapinzani wa Simba ligi ya Mabingwa Afrika watoka Nigeria


Droo ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefanyika leo Novemba 9 nchini Misri, Cairo ambapo kwa Tanzania inaiwakilisha na Simba SC kwenye ligi ya Mabingwa Afika baada ya kutwaa ubingwa wa ligi Kuu Bara msimu uliopita.

Mabingwa hao kutoka Tanzania kwenye raundi ya awali watapambana na timu kutoa Nigeria inayoitwa Plateau United na mshindi kwenye mchezo huu atakutana na mshindi kati ya Costa do Sol ama FC Platinum.

Timu ya Gormahia itakutana na APR na mshindi atakutana na CR Belouizdada ama AL Nasri.

Sfaxien ya Tunisia itamenyana na Mapinduzi ya Zanzibar.

FC Nouadhibou v Asante Kontoko.

Buffels v MC Algers

Enyimba v Rahimo FC

AS Otoho v Al Merreikh

Costa do Sol v FC Platinu

Timu hizi hazitashiriki katika raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika:-

Al Ahly na Zamalek za Misri

AS Vita na TP Mazembe za Congo

Esperance ya Tunisia

Horoya ya Guinea

Mamelond Sundowns ya Afrika Kusini.

Raja Casablanca na Wydad Casablanca za Morocco.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia