Rais wa Uturuki afanya mkutano wa video na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel


Rais Recep Tayyip ErdoÄŸan,amefanya mkutano wa video na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

Kulingana na taarifa kutoka kwa ofisi ya Rais, uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na Uturuki na masuala ya kikanda ni kati ya mada zilizojadiliwa wakati wa mazungumzo hayo.

Rais Recep Tayyip ErdoÄŸan alifanya mkutano kwa njia ya video na Waziri Mkuu wa Ujerumani Angela Merkel. Katika mkutano huo, ErdoÄŸan alizungumzia  uhusiano wa Uturuki na Jumuiya ya Ulaya na kusema kwamba wamejitolea kuboresha uhusiano kwa njia ya mazungumzo kutarajia majadiliano ya mchakato utakaendelea kwenye Mkutano wa Machi.

Rais ErdoÄŸan, pia amezungumzia matarajio yake ya Mkutano wa Uturuki na EU kabla ya kumalizika kwa uongozi wa Ureno.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi