Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri leo amefunga rasmi zoezi la 'Kliniki ya kutatua malalamiko Kigamboni' iliyoanza Januari 28 na kumalizika leo Februari 5 huku ikiwa na mafanikio makubwa ambapo wamepata jumla ya kero za msingi 346 huku wakitatua kero hizo kwa asilimia 65.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
