VIDEO: Mradi wa milioni 500 kunufaisha wananchi zaidi ya elfu 40


Wananchi zaidi ya elfu arobaini kutoka vijiji vya Mbwade na Bonye wilaya ya Morogoro wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu wa kilomita sita kufuata huduma ya maji safi na salama tangu mwaka 1984, kufuatia mradi wa maji duthumi ambao umegharimu zaidi ya shilingi milioni 500 ukitarajiwa kukamilika februari mwaka huu.

Akizungumza mara baada ya kujumuika kwa pamoja na wananchi na askari wa jeshi la akiba wa vijiji hivyo kuchimba mitaro na kufukia mabomba ya maji kwenye mradi wa maji duthumi ambao unafadhiliwa na watu wa marekani (waridi)                                                                                         

Kwa upande wake meneja  wa wakala wa maji vijijini (ruwasa) wilaya ya morogoro Mhandisi Grace Lyimo na mratibu wa waridi  Bi. Diana Nkongo wananeleza mafanikio wa mradi huo ambapo utakamilika februari mwaka huu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi