Breaking: Mohamed Hussein aongezewa mkataba ndani ya Simba



 Zile tetesi kuwa Mohamed Hussein,'Tshabalala' mkataba wake upo karibuni kuisha na hakuna mazungumzo ambayo yameanza na mabosi wake hao ambao ni mabinhwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba sport club yamezimwa leo baada kusaini tena mkataba ndani ya klabu hiyo.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi