Amos Gabriel Makalla ateuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar
byMuungwana Blog 3-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Amos Gabriel Makalla kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, anachukua nafasi ya Aboubakar Kunenge ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Pwani