Nyumbani Kiporo cha Simba vs Yanga Julai 3 byMuungwana Blog 3 -5/17/2021 11:00:00 AM 0 Mchezo namba 208 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba SC na Yanga SC umepangwa kuchezwa Julai 3, 2021, saa 11:00 jioni katila Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Mei 8, 2021, lakini uliahirishwa. Facebook Twitter