Sanamu la George Floyd laharibiwa


Polisi nchini Marekani imeanzisha mchakato wa uchunguzi kubaini wahusika wa tukio la uharibifu wa Sanamu la marehemu George Floyd ambaye aliuawa na aliyekuwa askari wa Minnesota, Derek Chauvin mwezi Mei 25, 2020.

Sanamu hilo limeharibiwa na watu wasio fahamika kwa kupaka rangi za michoro tofauti ikiwa ni wiki moja tu tangu mamlaka ya mji wa Brooklyn walipo lizinduliwe.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items