Klabu ya Simba imezindua
kauli mbiu yao ‘’It is not over, kazi iendelee’’ kuelekea mchezo wao wa
hatua ya pili katika michuano ya klabu bingwa Afrika siku ya Jumapili
dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C ya Botswana.
Katika
mchezo wa ugenini uliopigwa Botswana wiki iliyopita ‘Wekundu wa
Msimbazi’ walitanguliza mguu mmoja katika hatua ha makundi baada ya
kuibuka na ushindi wa bao 2-0 yaliyofungwa na John Bocco na Tadeo
Lwanga.
0 Comments