Ticker

6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Majaliwa aongoza kikao cha kamati ya kusimamia fedha zilizotolewa kwa ajili ya miradi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wenyekiti wa kamati ya kitaifa ya uratibu wa utekelezaji wa mpango  wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhudi ya UVIKO 19 akizungumza katika kikao cha kamati hiyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Post a Comment

0 Comments