F "Kununua wigi mwisho Milioni 1" - Menina Alegria | Muungwana BLOG

"Kununua wigi mwisho Milioni 1" - Menina Alegria

Msanii Menina Alegria amesema hata tozo za wigi zikiongezeka ataendelea kununua na kuvaa bidhaa hizo kwa sababu inaongeza mapato kwenye nchi.

Menina Alegira ameongeza kusema mwisho wa kununua wigi ni Tsh Milioni moja zaidi ya hapo hawezi kununua tena.
 

Post a Comment

0 Comments