Ticker

6/recent/ticker-posts

 


Watu wanne wafariki kwenye ajali ya treni Tabora

Shirika la Reli Tanzania -TRC limetoa taarifa ya ajali ya Treni ya Abiria namba Y14 yenye Injini namba 9019,iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kulekea Dar es salaam na kusababisha jumla ya vifo 4 na majeruhi 132 
 


Post a Comment

0 Comments