Mwanamuziki mkongwe Tina Turner afariki dunia

 


Mwanamuziki mkongwe maarufu kama Queen of Rock and Roll Tina Turner amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83 nyumbani kwake Zurich Switzerland.


Mwanamuziki huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kadhaa ikiwemo kufeli kwa Figo, ugonjwa na kiharusi (Stroke)


Alipata umaarufu katika miaka ya 1960 na nyimbo zake zikiwemo Proud Mary na River Deep, Mountain High.

Ameacha watoto wanne.

Post a Comment

0 Comments