Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali.
Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali, Bi. Bahati Ndingo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akitoa shukurani kwa baadhi ya wapiga kura wake walioshuhudia akitangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho.