VIDEO: DC, Meya Kinondoni wavamia madangulo ya uwanja wa fisi


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule na Meya wa Manispaa hiyo Songolo Mnyonge leo Novemba 14, 2023 wameendelea na operesheni ya kukabiliana na biashara ya ukahaba ambapo leo wamefika kwenye madangulo ya Uwanja wa Fisi eneo la Tandale.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items