Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza katibu tawala kuwasimamisha kazi baadhi ya watumishi katika hopitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe akiwemo katibu wa afya,watu wa idara ya manunuzi pamoja na idara ya tehema ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15 pamoja na kompyuta tatu katika hospitali hiyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
