VIDEO: Meya Kumbilamoto akabidhi madawati 25 ''watoto walikua wanakaa chini''


Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambaye ni Diwani wa Kata ya Vingunguti, Mhe. Omary Kumbilamoto, amekabidhi madawati 25 kwa uogozi wa Shule ya Msingi Kombo, iliyopo katika kata hiyo, ambao ni msaada uliotolewa na Kampuni ya Tanga pharmaceutical and Plastic limited, kuunga mkono jithada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan huku Meneja rasilmali watu wa kampumi hiyo Stephen Kagoso akimuhakikishia Meya Kumbilamoto kuwa wataendelea kuiunga mkono serikali katika nyanja mbalimbali za maendeleo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia